Ufunuo 11:5 BHN

5 Kama mtu akijaribu kuwadhuru, moto hutoka kinywani mwao na kuwaangamiza maadui zao; na kila mtu atakayejaribu kuwadhuru atakufa namna hiyo.

Kusoma sura kamili Ufunuo 11

Mtazamo Ufunuo 11:5 katika mazingira