Ufunuo 12:1 BHN

1 Kisha, ishara kubwa ikaonekana mbinguni: Mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!

Kusoma sura kamili Ufunuo 12

Mtazamo Ufunuo 12:1 katika mazingira