Ufunuo 11:19 BHN

19 Kisha hekalu la Mungu mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana hekaluni mwake. Kukatokea umeme, sauti, ngurumo, tetemeko la ardhi, na mvua kubwa ya mawe.

Kusoma sura kamili Ufunuo 11

Mtazamo Ufunuo 11:19 katika mazingira