Ufunuo 12:16 BHN

16 Lakini nchi ikamsaidia huyo mama: Ikajifunua kama mdomo na kuyameza maji hayo yaliyotoka kinywani mwa hilo joka.

Kusoma sura kamili Ufunuo 12

Mtazamo Ufunuo 12:16 katika mazingira