Ufunuo 12:17 BHN

17 Basi, joka hilo likamkasirikia huyo mama, likajiondokea, likaenda kupigana na wazawa wengine wa huyo mama, yaani wote wanaotii amri za Mungu na kumshuhudia Yesu.

Kusoma sura kamili Ufunuo 12

Mtazamo Ufunuo 12:17 katika mazingira