Ufunuo 13:11 BHN

11 Kisha, nikamwona mnyama mwingine anatoka ardhini. Alikuwa na pembe mbili kama pembe za kondoo, na aliongea kama joka.

Kusoma sura kamili Ufunuo 13

Mtazamo Ufunuo 13:11 katika mazingira