Ufunuo 13:14 BHN

14 Aliwapotosha wakazi wa dunia kwa miujiza hiyo aliyojaliwa kutenda mbele ya mnyama wa kwanza. Aliwaambia wakazi wa dunia watengeneze sanamu kwa heshima ya yule mnyama aliyekuwa amejeruhiwa kwa upanga lakini akaishi tena.

Kusoma sura kamili Ufunuo 13

Mtazamo Ufunuo 13:14 katika mazingira