Ufunuo 13:15 BHN

15 Kisha alijaliwa kuipulizia uhai hiyo sanamu ya yule mnyama wa kwanza, hata ikaweza kuongea na kuwaua watu wote ambao hawakuiabudu.

Kusoma sura kamili Ufunuo 13

Mtazamo Ufunuo 13:15 katika mazingira