Ufunuo 13:18 BHN

18 Hapa panatakiwa hekima! Mwenye akili anaweza kufafanua maana ya tarakimu ya mnyama huyo, maana ni tarakimu yenye maana ya mtu fulani. Tarakimu hiyo ni 666.

Kusoma sura kamili Ufunuo 13

Mtazamo Ufunuo 13:18 katika mazingira