Ufunuo 14:1 BHN

1 Kisha, nikaona mlima Siyoni na Mwanakondoo amesimama juu yake; pamoja naye walikuwa watu 144,000 ambao juu ya paji za nyuso zao walikuwa wameandikwa jina la Mwanakondoo na jina la Baba yake.

Kusoma sura kamili Ufunuo 14

Mtazamo Ufunuo 14:1 katika mazingira