Ufunuo 14:2 BHN

2 Basi, nikasikia sauti kutoka mbinguni, sauti iliyokuwa kama ya maji mengi na kama ya ngurumo kubwa. Sauti niliyosikia ilikuwa kama sauti ya wachezaji muziki wakipiga vinubi vyao.

Kusoma sura kamili Ufunuo 14

Mtazamo Ufunuo 14:2 katika mazingira