Ufunuo 14:3 BHN

3 Walikuwa wanaimba wimbo mpya mbele ya kiti cha enzi na mbele ya wale viumbe hai wanne na wale wazee. Hakuna mtu aliyeweza kujifunza wimbo huo isipokuwa hao watu 144,000 waliokombolewa duniani.

Kusoma sura kamili Ufunuo 14

Mtazamo Ufunuo 14:3 katika mazingira