Ufunuo 14:4 BHN

4 Watu hao ndio wale ambao hawakujichafua na wanawake, nao ni mabikira. Wao humfuata Mwanakondoo kokote aendako. Wamekombolewa kutoka miongoni mwa binadamu wengine, wakawa wa kwanza kutolewa kwa Mungu na kwa Mwanakondoo.

Kusoma sura kamili Ufunuo 14

Mtazamo Ufunuo 14:4 katika mazingira