Ufunuo 14:13 BHN

13 Kisha, nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, “Andika! Heri watu ambao tangu sasa wanakufa wakiwa wameungana na Bwana.” Naye Roho asema, “Naam! Watapumzika kutoka taabu zao; maana matunda ya jasho lao yatawafuata.”

Kusoma sura kamili Ufunuo 14

Mtazamo Ufunuo 14:13 katika mazingira