Ufunuo 14:14 BHN

14 Kisha, nikatazama, na kumbe palikuwapo wingu jeupe hapo. Na juu ya wingu hilo alikuwako aliye kama Mwana wa Mtu. Alikuwa amevaa taji ya dhahabu kichwani, na kushika mundu mkali mkononi mwake.

Kusoma sura kamili Ufunuo 14

Mtazamo Ufunuo 14:14 katika mazingira