Ufunuo 14:15 BHN

15 Kisha malaika mwingine akatoka hekaluni, na kwa sauti kubwa akamwambia yule aliyekuwa amekaa juu ya wingu, “Tafadhali, tumia mundu wako ukavune mavuno, maana wakati wa mavuno umefika; mavuno ya dunia yameiva.”

Kusoma sura kamili Ufunuo 14

Mtazamo Ufunuo 14:15 katika mazingira