20 Zabibu zikakamuliwa ndani ya hilo shinikizo lililoko nje ya mji, na damu ikatoka katika shinikizo hilo mtiririko wenye kina kufikia hatamu za farasi na urefu upatao kilomita 300.
Kusoma sura kamili Ufunuo 14
Mtazamo Ufunuo 14:20 katika mazingira