12 Kisha, malaika wa sita akamwaga bakuli lake juu ya mto mkubwa uitwao Eufrate. Maji yake yakakauka, na hivyo njia ikawekwa kwa ajili ya wafalme kutoka mashariki.
Kusoma sura kamili Ufunuo 16
Mtazamo Ufunuo 16:12 katika mazingira