Ufunuo 16:13 BHN

13 Kisha, nikaona pepo wabaya watatu walio kama vyura, wakitoka kinywani mwa yule joka, kinywani mwa yule mnyama na kinywani mwa yule nabii wa uongo.

Kusoma sura kamili Ufunuo 16

Mtazamo Ufunuo 16:13 katika mazingira