Ufunuo 16:17 BHN

17 Kisha, malaika wa saba akamwaga bakuli lake hewani. Sauti kubwa ikasikika kutoka kwenye kiti cha enzi, hekaluni, ikisema, “Imetendeka!”

Kusoma sura kamili Ufunuo 16

Mtazamo Ufunuo 16:17 katika mazingira