Ufunuo 16:18 BHN

18 Kukatokea umeme, kelele, ngurumo na tetemeko kubwa la ardhi ambalo halijapata kutokea tangu Mungu alipomuumba mtu.

Kusoma sura kamili Ufunuo 16

Mtazamo Ufunuo 16:18 katika mazingira