Ufunuo 16:19 BHN

19 Mji ule mkuu ukapasuliwa sehemu tatu, nayo miji ya mataifa ikateketea. Babuloni, mji mkuu, haukusahauliwa na Mungu. Aliunywesha kikombe cha divai ya ghadhabu ya hasira yake.

Kusoma sura kamili Ufunuo 16

Mtazamo Ufunuo 16:19 katika mazingira