Ufunuo 17:11 BHN

11 Huyo mnyama ambaye alikuwa anaishi hapo awali lakini sasa haishi tena ni mfalme wa nane, naye pia ni miongoni mwa hao saba, na anakwenda zake kuharibiwa.

Kusoma sura kamili Ufunuo 17

Mtazamo Ufunuo 17:11 katika mazingira