Ufunuo 17:10 BHN

10 Kati ya hao wafalme saba, watano wamekwisha angamia, mmoja anatawala bado na yule mwingine bado hajafika; na atakapofika atabaki kwa muda mfupi.

Kusoma sura kamili Ufunuo 17

Mtazamo Ufunuo 17:10 katika mazingira