Ufunuo 17:9 BHN

9 “Hapa panahitaji akili na hekima! Hivyo vichwa saba ni vilima saba ambavyo huyo mwanamke anaketi juu yake. Vichwa hivyo pia ni wafalme saba.

Kusoma sura kamili Ufunuo 17

Mtazamo Ufunuo 17:9 katika mazingira