Ufunuo 17:15 BHN

15 Malaika akaniambia pia, “Yale maji uliyoyaona pale alipokaa yule mzinzi: Ni makundi ya watu wa kila taifa, rangi na lugha.

Kusoma sura kamili Ufunuo 17

Mtazamo Ufunuo 17:15 katika mazingira