Ufunuo 18:15 BHN

15 Wafanyabiashara waliotajirika kutokana na mji huo, watasimama mbali kwa sababu ya hofu ya mateso yake, watalalamika na kuomboleza,

Kusoma sura kamili Ufunuo 18

Mtazamo Ufunuo 18:15 katika mazingira