16 wakisema, “Ole! Ole kwa mji huu mkuu. Ulizoea kuvalia nguo za kitani, za rangi ya zambarau na nyekundu, na kujipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu!
Kusoma sura kamili Ufunuo 18
Mtazamo Ufunuo 18:16 katika mazingira