Ufunuo 18:20 BHN

20 “Furahi ee mbingu, kwa sababu ya uharibifu wake. Furahini watu wa Mungu, mitume na manabii! Kwa maana Mungu ameuhukumu kwa sababu ya mambo uliyowatenda nyinyi!”

Kusoma sura kamili Ufunuo 18

Mtazamo Ufunuo 18:20 katika mazingira