Ufunuo 18:4 BHN

4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema,“Watu wangu, ondokeni kwake,ili msishirikiane naye katika dhambi zake,msije mkaipata adhabu yake.

Kusoma sura kamili Ufunuo 18

Mtazamo Ufunuo 18:4 katika mazingira