Ufunuo 18:3 BHN

3 Maana mataifa yote yalileweshwa kwa divai kali ya uzinzi wake, nao wafalme wa dunia wamefanya uzinzi naye. Nao wafanyabiashara wa dunia wametajirika kutokana na anasa zake zisizo na kipimo.”

Kusoma sura kamili Ufunuo 18

Mtazamo Ufunuo 18:3 katika mazingira