Ufunuo 19:15 BHN

15 Upanga mkali hutoka kinywani mwake, na kwa upanga huo atawashinda watu wa mataifa. Yeye ndiye atakayetawala kwa fimbo ya chuma na kuikamua divai katika chombo cha kukamulia zabibu za ghadhabu kuu ya Mungu Mwenye Nguvu.

Kusoma sura kamili Ufunuo 19

Mtazamo Ufunuo 19:15 katika mazingira