Ufunuo 2:17 BHN

17 “Aliye na masikio, basi, na asikie yale Roho anayoyaambia makanisa!“Mshindi nitampa ile mana iliyofichika. Nitampa pia jiwe jeupe lililoandikwa jina jipya ambalo hakuna mtu aliyelijua isipokuwa tu wale wanaolipokea.

Kusoma sura kamili Ufunuo 2

Mtazamo Ufunuo 2:17 katika mazingira