Ufunuo 2:18 BHN

18 “Kwa malaika wa kanisa la Thuatira andika hivi:“Huu ndio ujumbe wa Mwana wa Mungu, ambaye macho yake yametameta kama moto, na miguu yake inang'aa kama shaba iliyosuguliwa.

Kusoma sura kamili Ufunuo 2

Mtazamo Ufunuo 2:18 katika mazingira