Ufunuo 20:1 BHN

1 Kisha, nikamwona malaika mmoja anashuka kutoka mbinguni akiwa na ufunguo wa kuzimu na mnyororo mkubwa mkononi mwake.

Kusoma sura kamili Ufunuo 20

Mtazamo Ufunuo 20:1 katika mazingira