Ufunuo 20:2 BHN

2 Akalikamata lile joka – nyoka wa kale, yaani Ibilisi au Shetani – akalifunga kwa muda wa miaka 1,000.

Kusoma sura kamili Ufunuo 20

Mtazamo Ufunuo 20:2 katika mazingira