13 Bahari ikawatoa nje wafu waliokuwa ndani yake; Kifo na Kuzimu vikawatoa nje wafu waliokuwa ndani yao. Kila mmoja akahukumiwa kufuatana na matendo yake.
Kusoma sura kamili Ufunuo 20
Mtazamo Ufunuo 20:13 katika mazingira