Ufunuo 20:14 BHN

14 Kisha Kifo na Kuzimu vikatupwa ndani ya ziwa la moto. Ziwa hili la moto ndicho kifo cha pili.

Kusoma sura kamili Ufunuo 20

Mtazamo Ufunuo 20:14 katika mazingira