Ufunuo 21:17 BHN

17 Kisha akaupima ukuta wake pia; nao ulikuwa mita 60 kwa kipimo cha macho cha kibinadamu ambacho malaika alitumia.

Kusoma sura kamili Ufunuo 21

Mtazamo Ufunuo 21:17 katika mazingira