Ufunuo 21:16 BHN

16 Mji wenyewe ulikuwa wa mraba, upana na urefu wake sawa. Basi, malaika akaupima mji huo kwa kijiti chake: Ulikuwa na urefu, upana na kimo cha kama kilomita 2,400.

Kusoma sura kamili Ufunuo 21

Mtazamo Ufunuo 21:16 katika mazingira