Ufunuo 21:15 BHN

15 Basi, yule malaika aliyekuwa anasema nami alikuwa na kijiti cha dhahabu cha kupimia, kwa ajili ya kuupima huo mji, milango yake na kuta zake.

Kusoma sura kamili Ufunuo 21

Mtazamo Ufunuo 21:15 katika mazingira