Ufunuo 21:3 BHN

3 Kisha nikasikia sauti kubwa kutoka katika kiti cha enzi ikisema, “Tazama! Maskani ya Mungu kati ya watu. Atakaa kati yao, nao watakuwa watu wake, naye atakuwa Mungu wao.

Kusoma sura kamili Ufunuo 21

Mtazamo Ufunuo 21:3 katika mazingira