2 Nikaona mji mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka kwa Mungu mbinguni. Ulikuwa umetayarishwa vizuri kama bibi arusi aliyepambwa tayari kukutana na mumewe.
Kusoma sura kamili Ufunuo 21
Mtazamo Ufunuo 21:2 katika mazingira