Ufunuo 21:1 BHN

1 Kisha, nikaona mbingu mpya na dunia mpya. Mbingu ile ya kwanza na dunia ile ya kwanza vilikuwa vimetoweka, nayo bahari pia haikuwako tena.

Kusoma sura kamili Ufunuo 21

Mtazamo Ufunuo 21:1 katika mazingira