Ufunuo 3:17 BHN

17 Wewe unajisema, ‘Mimi ni tajiri; ninajitosheleza, sina haja ya kitu chochote;’ kumbe, hujui kwamba wewe ni mnyonge, unahitaji kuhurumiwa, maskini, kipofu tena uko uchi!

Kusoma sura kamili Ufunuo 3

Mtazamo Ufunuo 3:17 katika mazingira