Ufunuo 3:18 BHN

18 Nakushauri ununue kwangu dhahabu iliyosafishwa kwa moto upate kuwa tajiri kweli. Tena afadhali ununue pia vazi jeupe, uvae na kufunika aibu ya uchi wako. Nunua pia mafuta ukapake machoni pako upate kuona.

Kusoma sura kamili Ufunuo 3

Mtazamo Ufunuo 3:18 katika mazingira