Ufunuo 3:2 BHN

2 Amka! Imarisha chochote chema kilichokubakia kabla nacho hakijatoweka kabisa. Maana, mpaka sasa, sijayaona matendo yako kuwa ni makamilifu mbele ya Mungu wangu.

Kusoma sura kamili Ufunuo 3

Mtazamo Ufunuo 3:2 katika mazingira