Ufunuo 3:3 BHN

3 Kumbuka, basi, yale uliyofundishwa na jinsi ulivyoyasikia, uyatii na kutubu. Usipokesha nitakujia ghafla kama mwizi, na wala hutaijua saa nitakapokujia.

Kusoma sura kamili Ufunuo 3

Mtazamo Ufunuo 3:3 katika mazingira