Ufunuo 3:4 BHN

4 Lakini wako wachache huko Sarde ambao hawakuyachafua mavazi yao. Hao wanastahili kutembea pamoja nami wamevaa mavazi meupe.

Kusoma sura kamili Ufunuo 3

Mtazamo Ufunuo 3:4 katika mazingira