7 “Kwa malaika wa kanisa la Filadelfia andika hivi:“Mimi niliye mtakatifu na wa kweli, ambaye nina ule ufunguo wa Daudi na ambaye hufungua na hakuna awezaye kufunga, hufunga na hakuna awezaye kufungua.
Kusoma sura kamili Ufunuo 3
Mtazamo Ufunuo 3:7 katika mazingira